Dark

Penati ya Kagere Goli la Simba vs Kagera ligi kuu msimu wa pili.

FJ studio tz
Subscribe
Views 73 853
86% 638 101

#Simba #kagere

Share:

Link:

Download:

Loading link...

Add to:

My playlist
Watch later
Comments 14
MARIAM LUNG'ANGE
ilizi fc
Fravian Sympho
Fravian Sympho Month ago
Appreciation to referee and his assistance they handled the game very well.
Aaron Shirima
Aaron Shirima Month ago
ruvid.net/video/video-ML2-zGN2Sto.html
Salim Liemba
Salim Liemba Month ago
Tff angalieni Hawa marefa kama vipi rudi sheni darasani Sasa penat Bila kadi hii kali ya mwaka
JOS BOY *
JOS BOY * Month ago
Hii vp kipa hajapewa kadi
Bernie Thomas
Bernie Thomas Month ago
Refa alitumia hekima na huruma.. Tayar alikua na njano huyo kipa so angempa njano nyngne ingefata na nyekundu ndo maana akaona amkaushie tuu
julius phabian
julius phabian Month ago
wana simba wenzangu me bado sjalidhika na hii penart cause bado VAR hazijahakiki
Gilbert Vicent
Gilbert Vicent Month ago
Au Yanga mnasemaje juu ya penalty hii. ..tusaidieni kuitizama. .mpira umeingia nyavuni au umepaa? VAR...Tupeni majibu
ngosha wakanyau
ngosha wakanyau Month ago
Walikufungia sasa watakiona cha moto ushafungua tena
Juma Juma
Juma Juma Month ago
Gilbert Vicent hahahaha vyura yao maji tyu
Jala dollar
Jala dollar Month ago
kagere umetupa raha sana hatuna mapepe hatuja paisha mawinguni,wakuteseka mpo?
Elizabeth Majaliwa
Kagere asante kwa kuona nyavu wala hujapaisha juu mawinguni huko
Sir Painda Kiseya
Wanasimba mko wapiiiii gonga like kama we mjanjaaaa
Aisha Said
Aisha Said Month ago
This is Simba brooo
Mussa Luhwavi
Mussa Luhwavi Month ago
Kila hatua dua simba nguvu 1
Sulleyson Sulley
Chura wako wapi , ? Hii nayo ni kubebwa AAA
Gideon Lungwa
Gideon Lungwa Month ago
Hahaahahah
Said Geremy
Said Geremy Month ago
Medie
Next videos